Kwa nini ufiche mshahara wako kwa mwanandoa mwenzio??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hili swala najua ni Gumu sana ndg wapendwa lakini labda Mungu akikupa ufahamu utaona lina faida kubwa sana na madhara yake ni makubwa zaidi

Wapo watu ambao mpaaka leo hii wake zao awajui wanafanya kazi wapi..wapo ambao mpaka leo awajui mkewe analipwa sh ngapi...ni kweli wakati mwingine lazima tujue kama unaweza kumvulia mkeo na wote mkawa uchi wa mnyama je pesa nini kuwa mwazi kwa mwenzio??adam na eva walibaki uchi wa mnyama mungu alipowauliza wakajibu tuko uchi...


Labda twende kwenye mada zaidi ni vyema baada ya ndoa kila mtu akawa muwazi kwa mwenzie swala hili litawasaidia sana sana na zaidi furaha yake watakaofaidi ni watoto mtakaoenda kuwapata...amna kitu kibaaya kama kuwa na umimi kwenye ndoa...ni maisha mabaya ambayo madhara yake mengi uishia kuwaumiza mahakimu lini watoe talaka wakati hata miaka miwili amjafikisha...je wewe unafanya kazi??mwenzo anafanza kazi..\
anza leo mwambie wazi mke wangu unajua napata kiasi kadha na kwa upendo kabisa unamuewekea na salary slip mezani...na yeye anakuletea yake kama anafanya kazi na kama mfanyabiashara anakuletea anachopata alichouza..na faida inayopatikana..kwa kwli mtafaidi pamoja na kukaa na kupanga mambo yenu na kwa hili hhata MUNGU huwa anabariki...jitahidi kuwa mwazi ondoa umimi kwenye NDOA...

Wewe unaeenda kuoa jua hili ukishaoa kuna maamuzi magumu ambayo mengine yanamanfaa zaiidi moja wapo ni hili...kuwa na furaha kwenye ndoa mkimbize adui...siku moja nilipata mshahara wangu mama akiwa ajapata kazi nikaweka hela chini ...nikamwambia mkewangu zikanyage..akavua viatu nkamwambia kanyaga na vyatu
nikamwambia kama tukanyagavyo hivi kuanzia leo hela azitatutawala bali si tutazitawala hela..mpaka leo hii jamani mke wangu akaja kuapata hela ...si haba outing na watoto avikosekani lakini ukiwa kivyako hata matumizi unaogopa ya nyumbanai


Kuna mambo mengi unayyakwepa...mfano mama ama mkeo anaweza kuona jamaa kimya hivi siku ya siku uko kariakoo anaona gauni la 74,000 anasema hny jamani si uninunulie unashangaa mwenyewe....na kutoq macho kama umekabwa shingo..hapana mjulishe unapata ngapi ajui....kimya kimya matokeo yake wanahisi anatumia SMALL HOUSE

Mungu akazisambaratishe hizi houses in jesus name ...kwa kweli ni vibanda vinavyosumbua kweli familia nyingi...si kwa watu wa wanaomwamini Mungu kama ujasimama shetani anakurukia fasta unakuta uko na reserve....
Ukiwa muwazi inasaidia sana..kuna famili moja jirani mtotot wao akaomba dady jamani mkate mkate tunaomba tumechoka mihogo..akamtukana yule mtoto..na kuishia kusema mama yako na mimi tumeishi na mihogo mpaka sasa we unajifanya mkat mkate..mbaya zaidi jamaa ni dereva wa bosi mmoja serikalini analala na shangingi mtoto anapanda kwenye AC siku zote na mama..awajui unakula sh 100,000

so kuweni wa wazi kwenye ndoa utaavoid mengi sana mbarikiwe
 
Pdidy sometimes una akili kweli! lol! Ila sometimes mmh! But Congrats and thanks kwa mada!
 
Ubarikiwe sana natumaini na wewe utakuwa unafanya kama hayo uliyoandika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…