kwa nini Uhai wa Jukwa hili utegemee Matukio ya TCU, Bodi ya Mikopo na NECTA??

kwa nini Uhai wa Jukwa hili utegemee Matukio ya TCU, Bodi ya Mikopo na NECTA??

MKL

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
126
Reaction score
77
Yaani kumbe kama Taasisi tajwa hapo juu zisipokuwa na Matukio jukwaa hili linapooza kiasi hiki? jamani kama TCU, HESLB au NACTE hawana matukio basi jitahidini mlio na upeo wakielimu muwe mnapost hata Tafiti mbali mbali ili tunufaike wakati tukisubiri matukio ya hizi taasisi ambazo kuwepo kwake ndio huwa yanachangamsha zaidi Jukwaa hili..
Wasomo tupieni Tafiti za Kisomi humu..........
 
sasa na hao watoto waliokufa mdizini manzese wametegewa nao au ? kumbe moto wa kwa mengi umeanzia master bedrom kwake, kwenye kyoyozi nae akiwa ndani (sijui?) lakini hapa kuna wataalamu ukidhani walikuwepo mle ndani watatuambia zaidi hapo ndipo habari hii itakuwa UMBEA HIGH QUALITY 5 Star !

True say
 
Tatitzo ni kuwa watu wanapenda kuongea mambo ya mapenzi tu. Humu hata ulete jambo lisomwe na wtau mia, hutapata watu wa kuchangia. :confused2:
 
Watu hawapendi/hawataki kuchangia mambo ya Elimu. Watu, waTz, hawapendi mambo magumu. Pia, hili linaonekana kama ni jukwaa la wanafunzi wa sek. na vyuo (hususani mwaka wa 1). Ndio maana mada uchwara za 'chuo W ni bora kuliko chuo '.
Nitabaki kuwa msomaji, na ikibidi, nitachangia pale penye mada na mawazo ya kisomi.
 
Umesema ukweli. Mada nyingi humu zimekaa kitoto sana
 
Back
Top Bottom