kwa nini Uhai wa Jukwa hili utegemee Matukio ya TCU, Bodi ya Mikopo na NECTA??

MKL

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
126
Reaction score
77
Yaani kumbe kama Taasisi tajwa hapo juu zisipokuwa na Matukio jukwaa hili linapooza kiasi hiki? jamani kama TCU, HESLB au NACTE hawana matukio basi jitahidini mlio na upeo wakielimu muwe mnapost hata Tafiti mbali mbali ili tunufaike wakati tukisubiri matukio ya hizi taasisi ambazo kuwepo kwake ndio huwa yanachangamsha zaidi Jukwaa hili..
Wasomo tupieni Tafiti za Kisomi humu..........
 

True say
 
Tatitzo ni kuwa watu wanapenda kuongea mambo ya mapenzi tu. Humu hata ulete jambo lisomwe na wtau mia, hutapata watu wa kuchangia. :confused2:
 
Watu hawapendi/hawataki kuchangia mambo ya Elimu. Watu, waTz, hawapendi mambo magumu. Pia, hili linaonekana kama ni jukwaa la wanafunzi wa sek. na vyuo (hususani mwaka wa 1). Ndio maana mada uchwara za 'chuo W ni bora kuliko chuo '.
Nitabaki kuwa msomaji, na ikibidi, nitachangia pale penye mada na mawazo ya kisomi.
 

Umesema ukweli. Mada nyingi humu zimekaa kitoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…