Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Ukweli ni kwamba wanawake wa Dar wanatupenda sana sisi wa mikoani.Hoja ya Kutuhurumia ni gia tu. Mikoani ni matango tu Hakuna vibamia. Chips na chocolate kwa wanaume watu wazima ni haramu. Hivi kweli baba mzima unakula chocolate!!!??? Du! ama kweli, Wonders will never end!Na twakwimu zinasema wanaume wa mikoani hawajawah kutongeza wanawake wa dar Bali huwa wanahurumiwa2
Punguani Wa headUkweli ni kwamba wanawake wa Dar wanatupenda sana sisi wa mikoani.Hoja ya Kutuhurumia ni gia tu. Mikoani ni matango tu Hakuna vibamia. Chips na chocolate kwa wanaume watu wazima ni haramu. Hivi kweli baba mzima unakula chocolate!!!??? Du! ama kweli, Wonders will never end!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sifa kula makande ,ni umasikini tu huo.Aliposema "zege = chips" wakati sisi wa mikoani tunajua "zege = kande".Pia chips hailiwi na wanaume watu wazima wenye familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me mkuu huwa sinywi soda nakunywa maji mengi sababu ya mafuta halafu baadae kidogo nayeyusha na kinywaji
Tunawatombea sana dada zao hawa jamaa.Na twakwimu zinasema wanaume wa mikoani hawajawah kutongeza wanawake wa dar Bali huwa wanahurumiwa2
Pole sana.Punguani Wa head
Hivi hufahamu kuwa Chocolate inaongeza IQ na kuimalisha nguvu za kiume?
Wewe dada C ndiyo nani?Nakufahamu dada ,we zako mbege tu.
Ndiyo nakulagaZege linaleta kiu ya soda sana. Tena ya baridi.
Ndiyo sababu.
Kwani na wewe unakulaga chipsi yai "tepetepe"?
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kula chocolate ni sifa na ni utajiri!!!???Sio sofa kula makande ,ni umasikini tu huo.
Sio lazima mkuu ni wewe mwenyewe kuamua kunywa au kutokunywaHivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
Yaani hawa ndugu zangu hawa huwa wananiacha hoi Sana. Unakuta baba zima linafamilia na watoto, halafu unalisikia bila aibu linasema "Nahamu na chips/chocolate"!
Labda wewe tu ila watu wote wakila zege lazima wanywe sodaSio lazima mkuu ni wewe mwenyewe kuamua kunywa au kutokunywa
Bhasi sio wote mkuu kama mimi sipoLabda wewe tu ila watu wote wakila zege lazima wanywe soda
Sure wagonga sanaTunawatombea sana dada zao hawa jamaa.