miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Jul 22, 2017 #41 Jordi Pola said: Sorry nimejichanganya ,kuna manzi nilikuwa nachati naye what's up ni classmate wangu anaitwa Caroline Lyimo ila anapenda kujiita Chaga Beibe sasa nikajikuta namtaja yeye humu JF nikidhani bado nipo naye wasapu Click to expand... Okey
Jordi Pola said: Sorry nimejichanganya ,kuna manzi nilikuwa nachati naye what's up ni classmate wangu anaitwa Caroline Lyimo ila anapenda kujiita Chaga Beibe sasa nikajikuta namtaja yeye humu JF nikidhani bado nipo naye wasapu Click to expand... Okey
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 22, 2017 #42 Nahisi itakuwa viazi vinawakaba ndiyo maana... Cc: mahondaw
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Jul 22, 2017 Thread starter #43 Smart911 said: Nahisi itakuwa viazi vinawakaba ndiyo maana... Cc: mahondaw Click to expand... Kwa nini asa wasinywe maji?
Smart911 said: Nahisi itakuwa viazi vinawakaba ndiyo maana... Cc: mahondaw Click to expand... Kwa nini asa wasinywe maji?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 22, 2017 #44 Jordi Pola said: Kwa nini asa wasinywe maji? Click to expand... Kumwambia mla zege... Ale zege na maji... Ni sawa na kumwambia mnywa pombe.. Anywe pombe na ugali... Cc: mahondaw
Jordi Pola said: Kwa nini asa wasinywe maji? Click to expand... Kumwambia mla zege... Ale zege na maji... Ni sawa na kumwambia mnywa pombe.. Anywe pombe na ugali... Cc: mahondaw
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 22, 2017 #45 Jordi Pola said: Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani. Click to expand... Mafuta kisha ni chakula kikavu chenye wanga mwingi na protein (marafiki wa soda baridi) Sent using Jamii Forums mobile app
Jordi Pola said: Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani. Click to expand... Mafuta kisha ni chakula kikavu chenye wanga mwingi na protein (marafiki wa soda baridi) Sent using Jamii Forums mobile app