Kwa nini ukimwi ulianzia mkoa wa kagera?

Inasemekana kwa Afrika hili gonjwa lilianza kupiga hodi mitaa ya Museveni, Kwa Museveni na Kagera ni pua na mdomo.

Maambukizi yalienezwa mikoa ya kanda ya ziwa na mwisho wa siku Tanzania nzima.
Ukimwi tangu lini ukawa ugonjwa?
 
Siyo kwa maji yale,,,,itakuwa alivyoyarusha yalirukia Mdomoni😝🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…