Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
wanawake wa cku izi wamewateka sana waume zao pale ndo inapokuwa mbichi sa washkaji huwa hawataki ukaribu ili wasiwe chanzo cha ndoa kuvunjika. Huo ndo mtazamo wangu.
Mkuu sio kwamba wanakukimbia, wanakupa nafasi ya kujenga ndoa yako.
Kwahio siku moja moja inabidi uweke mda wa kuwatafuta hili ujiunge nao. Usisubiri wakutafute, ni waungwana wao hawataki kukusumbua kwenye ndoa yako.
Sio rahisi kutumia mda ule ule na marafiki zako baada ya ndoa.
marafiki na ma wifi, wepi wavunjao ndoa?
hapa anaelalamika ni mwanaume! Je mkeo kama alikuwa na marafiki weng wa kiume na wakike siku awakaribishe waje kunywa hapo nyumbani utajisikia je?Kuna hatua mbili kuu za marafiki kukumbia.
Tena wanaokukimbia ni wale marafiki wa jirani ulio waona kama ndugu.
Ukiwatangazia kuoa wanaonekana kwa nje kukuunga mkono, ukihitaji msaa wao wanakupotezea na simu zako hwapokei wala meseji jawajibu.
Ngwe ya pili ukisha oa, utaona namba ya marafiki ikizidi kupungua.
Washikaji , kama ndoa ni baraka kwa nini tukimbiane?
Siji bar mara kwa mara , lakini njooni home, tunywe na tufurahi kama zamani.