Kwa nini utetezi kwenye kesi ya rwakatale umejikita zaidi katika vifungu vya ukiukwaji wa sheria tu?

Kwa nini utetezi kwenye kesi ya rwakatale umejikita zaidi katika vifungu vya ukiukwaji wa sheria tu?

Muarobaini Mchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
281
Reaction score
54
Naendelea kuifuatilia kesi hii na jinsi Chadema inavyomtetea afisa wake mkuu wa usalama bw. Rwakatale. Napata kigugumizi sana nikilinganisha au nikitabiri matokeo ya kesi iwapo itafutwa kwa kuzingatia ukiukwaji wa kifungu cha sheria mfano: nanukuu: Mkutano wowote wa kupanga ugaidi ni lazima uwe na watu zaidi ya watatu, lakini kwenye mashitaka wanashtakiwa watu wawili;

Tufanye kesi imetupiliwa mbali, je hii itaisafisha CHADEMA? kwani inavyoonekana ni kweli kulikuwa na kikao na katika kikao hicho walikaa watu 2, Ludovic na Rwakatale. Nayaandika haya kwa kuangalia kete nyingine iliyoko mbele ya Chadema na CCM wanaweza kuitumia. Nahisi ingekuwa muhimu watu wakajitetea kuwa aidha hapakuwa na kikao hicho kabisa kwa kubainisha ukweli zaidi. Kuna wanaosema Video imekuwa 'edited' , Ludovic Chadema wanakataa kumtambua na hata kwenye utetezi wao anatambulishwa kama 'mtu mwingine kwa jina la Ludovic'. Wengi tunajua kuwa Ludo ni Chadema na shuguri zake nyingi amekwisha fanya na Chadema hivyo kupinga kuwa hawamfahamu ni dalili kuwa itawasaidia katika utetezi wao- hapa napo bado narudia itawaondoa mahakamani lkn Wa - Tanzania tutakuwa hatujapata ukweli halisi.

Najua wengi wenye mapenzi na Chadema mtakurupuka kujibu hii kwa jaziba lkn hayo ni mawazo yangu ambayo naamini KWA NIA NJEMA yakipatiwa majibu itasaidia sana kujisafisha na shutuma hizi, la sivyo tutashinda kesi mahakamani kwa kutumia vifungu vya sheria lakn damage itabaki na maswari ya NI KWELI AU SI KWELI yatakuwa hayajibiwa!
 
Muarobaini Mchungu,
Post yako ikiachwa hivi, wachangiaji kwa kutokujua unwell wa kilichoendelea Jana mbele ya Jaji Kaduri. Kwa bahati mbaya na post yako haikutaka kujielimisha pia. Kwa manufaa ya wasomaji, naomba kubaini ifuatavyo:-
1) katika hatua ya Jana kilichokuwa mbele ya mahakama Kuu ni "Ombi la Mapitio ( review) ya kesi PI na 37 ya mwaka 2013 na PI na 6 ya mwaka 2013. Mbele ya mahakama hapakuwa na utaratibu wa " kusikiliza kesi ya " ugaidi" dhidi ya Lwakatare na Mwenzake. Usipopata tofauti kati ya Maombi yaliyowasilishwa ya Review na usikilizwaji wa Kesi yote tunayojadili yatapoteza maana, kwa kuwa usikilizaji wa kesi ni hatua ya baadaye kabisa, tena iwapo mahatma Kuu itaamua katika ruling yake kuwa kuna kesi. Uamuzi huo utatolewa na Jaji Kaduri on notice yaani kwa tarehe atakayotoa yeye baada ya kupitia hoja zote zilizotolewa Jana na pande zote mbili yaani upend wa Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Lwakatare.
2) kabla maombi ya Review hayajajadiliwa Jana kulitolewa PO yaani Preliminary Objection kutoka kwa Mawakili wa Serikali, kuhusiana na swala la kisheria. Hoja hiyo kwa kuwa ni hoja ya kisheria ilijadiliwa kupata uhalali wa missing ya kisheria ya Ombi la Lwakatare Kama ilivyowasilishwa na Lwakatare. Hoja hizi kissing ni za kitaratibu, na haziingii kujadili missing yenyewe ya kesi. Kwa utaratibu wa kisheria PO ikiwasilishwa ni lazier mahakama toe fursa kwa Pande zote yaani upend wa wasilisha PO na Upande wa wajibu PO ( katika shauri hili wajibu PO ni Mawakili wa Lwakatare). Kwa kugha ya kawaida, wallet PO wanapinga kuwa ombi haliko kisheria mbele ya mahakama na wanton sababu zao za kisheria, wataeleza precedence katika kesi zilizowahi kutolewa maamuzi ya aina hiyo. Upande wa pili nao unajibu kwa utaratibu huo huo. Hiki ndicho kilichofanyika Jana. Jaji baada ya kusikiliza PO hizo alitoa uamuzi kuwa uamuzi wake kuhusu PO pia atautoa baadaye, lakini akaruhusu wakati huo huo Maombi ya msingi ya mawakili wa Lwakatare yaendelee kusikilizwa.
3) Maombi ya upande wa Lwakatare yalijikita katika uhalali wa DPP kufuta kesi PI na 37 ya mwaka 2013 na kumwachia Lwakatare huru na Lwakatare kukamatwa Mara tu baada ya kuachiwa kukamatwa tena na kufunguliwa mashitaka yale yale, mpaka koma bila badiliko la mazingira, bila kuleta mashitaka mapya, na au jambo lingine jipya mambo ambayo kissing indigo yanayohalalisha DPP kufuta kesi na kuifungua upya. Lakini katika kesi ya Lwakatare DPP alifungua kesi mpya yenye charges zile zile mpaka coma, isipokuwa namba ya kesi kubadilika kuwa PI 6. Hivyo upande wa mawakili wa Lwakatare ulihoji utaratibu huo wa DPP Kama unaendana na matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheria zetu mbalimbali, na kutoa ushahidi kutoka kwenye kesi zilizowahi kutolewa uamuzi( precedence) ambapo kesi hiyo ilifutwa kwa DPP kuvuka mipaka ya mamlaka yake Kama ilivyowekwa na Katiba, sheria na Maamuzi ya mahakama ya Rufaa.ikumbukwe kuwa hakuna anayebisha mamlaka ya DPP kufuta kesi wakati wowote na katika hatua yeyote, kinachobishaniwa ni kuwa mamlaka hayo silo blanket Bali yako ndani ya Parameters zilizowekwa na siyobabsolute kama watanzania wengi walivyoaminishwa.
4) Pamoja na hoja hiyo ya kisheria, kulizuka pia hoja ya kisheria kuwa wakati kesi na 37 ilipowasilishwa kulikuwa na PO ambayo ikiwasilishwa na upande wa mawakili wa Lwakatare, ikiwa ni pamoja na kumwombea mteja wao dhamana kwa kuwa Kifungu cha Sheria kilichotumika kumfungulia Lwakatare kesi hakipaswi kuwa kifungu Sheria ya Terrorist act, kama upande wa Serikali ulivyowasilisha kwa kuwa a) hati ya mashitaka iliyowasilishwa haionyeshi Nia ya ugaidi Kama inavyotakiwa na sheria, na wall maelezo ya mashitaka ( particulars of offense) nay haionyeshi hivyo. b) makosa ya Abduction yaani kuteka yana tafsiri nyingi katika sheria, ikiwa ni pamoja na mwanaume kumteka mwanamke kwa lento la kutaka kumwoa, mtu kutekwa kwa watekajinkutaka Ransome yaani malice ya fedha, nk kinachotafoautisha utekaji wa kigaidi na utekaji hue mwingine, ni kifungu cha sheria chenyewe kinachoweka sharti kuwa utekaji wa kigaidi utaonekana katakana na nia (intention) ya kigaidi, jambo ambalo mashitaka ya Lwakatare hayakuonyeshs, na hivyo, hata Kama Lwakatare angelikuwa ameshitakiwa kwa kuteka nyaraka, ni shit aka linaloingia katika kesi za kawaida za kijinai kwa mujibu wa sheria ya Kanuni za Adhabu, na kesi hizo zina mdhamana, tofauti na kesi ya kigaidi. Hivyo hiyo nayo kwa kuwa ilibishaniwa katika kesi na PI 37 na ilikuwa itolewe uamuzi siku lie lie ambapo Lwakatare alifutiwa kesi na kukamatwa upya jambo ambalo linatia Shaka kwa nia ya ya DPP katika kufuta kesi na 37 na kufungua na 6, ndio maana hoja. Iliyowasilishwa ni kuwa utaratibu uliotumika kufuta na kufungua kesi kwa charges zile zile ni abuse of judicial process, yaani kutumia vibaya utaratibu wa mahakama. Nimeweka kwa kirefu ili wasomaji wetu walleye ka undone hoja ni zipi, nini kip mbele ya mahakama badala ya kila mmoja kubuni kwa jinsi anavyotaka au anavyojisikia, na hata winging kwa lengo tu la kupotosha.




Naendelea kuifuatilia kesi hii na jinsi Chadema inavyomtetea afisa wake mkuu wa usalama bw. Rwakatale. Napata kigugumizi sana nikilinganisha au


nikitabiri matokeo ya kesi iwapo itafutwa kwa kuzingatia ukiukwaji wa kifungu cha sheria mfano: nanukuu: Mkutano wowote wa kupanga ugaidi ni lazima uwe na watu zaidi ya watatu, lakini kwenye mashitaka wanashtakiwa watu wawili;

Tufanye kesi imetupiliwa mbali, je hii itaisafisha CHADEMA? kwani inavyoonekana ni kweli kulikuwa na kikao na katika kikao hicho walikaa watu 2, Ludovic na Rwakatale. Nayaandika haya kwa kuangalia kete nyingine iliyoko mbele ya Chadema na CCM wanaweza kuitumia. Nahisi ingekuwa muhimu watu wakajitetea kuwa aidha hapakuwa na kikao hicho kabisa kwa kubainisha ukweli zaidi. Kuna wanaosema Video imekuwa 'edited' , Ludovic Chadema wanakataa kumtambua na hata kwenye utetezi wao anatambulishwa kama 'mtu mwingine kwa jina la Ludovic'. Wengi tunajua kuwa Ludo ni Chadema na shuguri zake nyingi amekwisha fanya na Chadema hivyo kupinga kuwa hawamfahamu ni dalili kuwa itawasaidia katika utetezi wao- hapa napo bado narudia itawaondoa mahakamani lkn Wa - Tanzania tutakuwa hatujapata ukweli halisi.

Najua wengi wenye mapenzi na Chadema mtakurupuka kujibu hii kwa jaziba lkn hayo ni mawazo yangu ambayo naamini KWA NIA NJEMA yakipatiwa majibu itasaidia sana kujisafisha na shutuma hizi, la sivyo tutashinda kesi mahakamani kwa kutumia vifungu vya sheria lakn damage itabaki na maswari ya NI KWELI AU SI KWELI yatakuwa hayajibiwa!
 
Mheshimiwa nashukuru kwa fast response yenye maelezo ambayo watanzania wengi naamini wanahitaji kuyasikia na kujifunza pia. Ninachwashauri ni kuwa Mjaribu kuwa mnatoa statements zisisizo acha maswali au zenye kukidhi haja za mnaowalenga (Wa- Tanzania). Ninajua fika kuwa mahakamani kuna taratibu zake na wakati mwingine wanasheria hutumia weekness fulani fulani ili kupata unafuu katika undeshaji wa kesi. Hivyo ni muhimu kuwa na jibu/KAULI moja ya Chama katika majibu mnayotoa ( kama msemaji wa chama hatokuwepo au toka kwa mwanasheria husika) Sio leo DR, Slaa kajibu hivi, Kesho Mbowe vile, keshokutwa Zito vile nk. ni zoezi dogo lakini lenye impact kubwa sana ukizingatia ukubwa na majukumu ya chama kuelekea 2015. na nafiki madhara ya kauli tofauti yameshaanza kuonekana na yanatuweka watanzania njia panda kwa kiasi fulani! Ninaendelea kufuatilia kwa nia njema! kwanza Tanzania 2015.
 
Back
Top Bottom