Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Hivi wakuu Kuna post zilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post kimya,
na pia Kuna nyingine ya SINOTASHIP pia kimya hadi Leo, shida inakua ni nini?
Nje ya madam kidogo: Pia kwa Nini PSRS wanashindwa kuzingatia kuhusu "and related field" katika Muktadha huo na kupelekea utitiri wa failed application or not shortlist due to irrelevant degree program?