Mkillindy Member Joined Sep 14, 2011 Posts 37 Reaction score 4 Sep 22, 2011 #1 Ni muda sasa umepita tangu neno jigambe liingie humu ndani ya Jamii Forum, Hebu bufya hapa tuingie humu ndani tuone, huenda kuna mazuri ya kuweza kutusaidia katika mishuhuliko yetu ya kila siku.
Ni muda sasa umepita tangu neno jigambe liingie humu ndani ya Jamii Forum, Hebu bufya hapa tuingie humu ndani tuone, huenda kuna mazuri ya kuweza kutusaidia katika mishuhuliko yetu ya kila siku.