Kwa nini Uwanja Wa Benjamin mkapa Kila siku UNAKARABATIWA Lakini mvua ikinyesha unalitia aibu Taifa?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Nimesikitika mno kuona Ligi yangu inayosifika Kuwa iinashika nafasi ya tano kwa ubora Africa timu zake kubwa Yanga SC na Simba SC likija suala la kimataifa wanacheza kwenye Jaruba lililojaa maji.

Miundombinu ni mibovu sana hata Al masry wamefungwa kwa Sababu ya Uwanja MBOVU.
 
Kiwanja gani duniani ambacho mvua kubwa ikinyesha muda mfupi kabla ya mchezo, eneo la kuchezea huwa linabaki na ubora ule ule sawa na ikiwa haijanyesha?
 
Mkuu nitakuja kupanda mahindi naona rutiba ipo shamba safi kabisa ilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…