Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 556
Naomba kuuliza kama kuna historia yoyote kati ya Simba Sc na uhuni/umafia maana viongozi wake wengi kutwa wako mahakamani kwa makosa ya jinai.
Tunayo mifano mingi kuanzia Rais Eveva, Makamo wake Kabulu, Hanspope, na Manara.. Ukirudi nyuma kuna watu kama Rage na Hassan Hasanoo ambao walifungwa kutokana na jinai mbali mbali.
Je tatizo ni nini?