tangu ianzishwe na mganga wa kienyeji mwanamke simba ni li-timu la ovyo ovyo linaloongozwa na ma-'mission town' yaani wao ni full maujanja ujanja tuu, na ndiyo wanao uhujumu na ku-uwa ya mpira wa Tz, wao bila figisu figisu hawashindi mechi yoyotee,
siku zote wanawatanguliza mbele 'friends of simba' ambalo ni genge la wahuni na matapeli ili kushinda mechi zao hata kama ni za kirafiki, bahati mbaya sana kwa sasa wamekutuna na serikari ya 'jiwe' inayoongozwa na 'vichaaa' wanawashiwa moto sasa!......siku zote tunawaambia njoooni kwenye chama la wana yaani timu ya wananchiii tulisakatee kabumbu.....