what happened ni kwamba miongoni mwa vitu ulivyozoea kumetokea mabadiliko. Kwa wakati huo, kilichobadilika ni huyo mwanamke pamoja na mazingira. Believe me, jaribu kubadili mazingira na mpenzi wako na utaona tofauti. Mshauri pia awe anabadilika badilika ikiwemo kuvaa nguo za ndani aina tofauti na ulizozizoea kumwona nazo!!!
Naona umeongea kitu cha maana. Kuna wakati tulisafiri na mke wangu kwenda mbali kidogo. Tulipata nafasi ya kufanya ule mchezo. Siyo siri, performance iliboreka sana. Kwa hiyo suala la mazingira inawezekana lina-matter pia.
Hata viwanja vya nyumbani unaweza tumia, km sebuleni, bafuni, jikoni,koridoni nk nk utaenjoy!
Ushasema vya kuiba, ni lazima viwe na raha mazingira tofauti unakuta dem kajiremba kajisafisha ananukia ile mbaya, kakupania atakupa mambo adimu, sasa unarudi home unakuta mdada kajishindia na dira linanuka maziwa hajajiremba, nywele zimemsimama kama mitipembe, awali ya yote kakasirika hapo hamu itatoka wapi?
majukumu pia ya nyumbani yanatufanya wanawake tusahau kujiweka soapsoap.
Sikubahatika kusikia hiyo raha kwenye huo wizi mbona? nafikiri kila kitu ni akili yako tu inavokutuma
Jamani msinilaumu sana lakini hilo limenitokea mimi mwenyewe na nimeuliza baadhi ya rafiki zangu nao wameniunga mkono. Yaaaaaaaani, sijui nguvu huwa inatoka wapi!! Wakati fulani nilienda tripu nne bila kupumzika jambo ambalo siyo ninapotumia mali yangu.
Kwani hujui kuwa uzuri wa mwanamme/mwanamke wa nje ni upya wake tu.Jamani msinilaumu sana lakini hilo limenitokea mimi mwenyewe na nimeuliza baadhi ya rafiki zangu nao wameniunga mkono. Yaaaaaaaani, sijui nguvu huwa inatoka wapi!! Wakati fulani nilienda tripu nne bila kupumzika jambo ambalo siyo ninapotumia mali yangu.