Kwa nini Waafrika tunaweka juhudu kwenye kuomba Mungu kuliko kujituma kufanya kazi na kuwafundisha watoto ujuzi mbalimbali?

Kwa nini Waafrika tunaweka juhudu kwenye kuomba Mungu kuliko kujituma kufanya kazi na kuwafundisha watoto ujuzi mbalimbali?

Mzee wa old school

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
873
Reaction score
1,405
Kama aliye turoga kajificha mahala,, tafaadhali, ajitokeze aje atugangue uchawi wake,, maana huo uchawi ni hatali sana... waafrika tumekuwa kama mazuzu na mafisi yanayo mfatilia mwadamu nyuma nyumba yakiamini mikono ina tingishika itaanguka na kufaidia minofu!

Kuna picha jongeo fupi (clip) zinasambaa sana mtandaoni zikionyesha watoto wakichina wapo shule wanafundishwa kujenga, wengine umeme, wengine wanafundishwa kutengeneza magari N.K... hapo hapo wanatafuta clip ya watoto wa Afrika wakiwa wapo kanisani ama shuleni wanaomba,,, hapo hilo ji afrika lilo rogwa na uchawi wa kizungu ama uchunani linastopisha na kuanza kukejeli kwamba waafrika sisi ni wajinga... hapo hapo linasahau kuwa lenyewe ndilo moja ya wadau wa elimu nchini mwake, hivyo linatakiwa litoe mchango wako katiuka kuboresha hiyo elimu linayo ilalamikia. sasa lenyewe kutwa kushinda mitandao kutafuta clip za wachina kulinganisha na watoto wa kiafrika.

Zaidi kwa kwa faida yako wewe muafrika uliye rogwa... hakuna mtu wala taifa lisilo na imani... hata hao wachina wana imani zao... isipokuwa wenzetu wanafanya siri sana....

Nataka nikwambie wachina wanatoa sana kafara wakiwa wanatekeleza miradi yao mikubwa na kuna hatua wanafika hata kujitoa wao wenyewe! sasa wewe uliogwa usiwe jitambua na uchizi wako unakejeli watu na imani zao... hawaonyeshi mambo yao na ibada zao za kiimani ili wakupoteze wewe mbumbu wa kubwabwaja, igaiga.. ili uwaige uachane na imani.. wakija kwako wakupige na kukuibia sawasawa na ikiwezekana watumie hatu nguvu zao za kiroho kukutawala maana utakuwa hamna roho yako imekufa umebaki kopo tu....

Sasa nimepumua.... lilikuwa limenikaba sana hili..........
 
Sijaja kwa lengo la kukuudhi ila mtu anayeamini kwenye mambo ya kafara ni mpumbavu kuliko chawa wa CCM.

Angalau chawa wa CCM analipwa.
 
Back
Top Bottom