Kwa nini waajiri ni wakatili kiasi hiki

Kimboko

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
56
Reaction score
6
Wakubwa kwa wadogo hebu nisaidieni, kwa nini inapofika mwajiriwa anadai haki yake huwa inakuwa ngumu sana kwa mwajiri kukubali kulipa madai ya mwajiriwa ata kama ni haki yake???

Hebu naombeni ushauri kwa sababu kuna watu wanaitwa MADEREVA wamemikataba yao na TASAF halafu wakaambiwa wakalime japo hwakupewa haki zao na kile walichopata walilipia madeni yao ya mikopo ya benki ata kama hakitoshi, kwa maana ya kuwa wameondoka KAPA bila chochote!!! Hebu naomba wenye uzoefu na sheria za kazi wanisaidie jamani

Asanteni kwa ushauri wenu mtakaotoa.
 
pole sana mkuu. vumilia ndivyo maisha yalivyo
 
Mkuu kama walikopa na hawajamaliza mikopo huwa wanalamba asante yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…