je mazingira ya kazi ni magumu
wamewakumbuka wazazi wao wanataka kurudi karibu na nyumbani
je wamewamiss waume/wake zao
je wamemiss kwenda club na kumbi za starehe
Najaribu kuwaza embu Toa sababu zinazo kufanya utamani kuama hapo ulipo
Fursa za uwekezaji katika ardhi, wengi wanamiliki ardhi hivyo akiwa kwenye himaya yake anaweza kufanya shughuli nyingne za kiuchumi kupitia kipande cha ardhi alichonacho, ufugaji, kilimo, ujenzi, upandaji miti n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.