Kwa nini waalimu wanatafuta watu wa kubadilishana nao vituo

emanwell

Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
16
Reaction score
3
•je mazingira ya kazi ni magumu
•wamewakumbuka wazazi wao wanataka kurudi karibu na nyumbani
•je wamewamiss waume/wake zao
•je wamemiss kwenda club na kumbi za starehe

Najaribu kuwaza embu Toa sababu zinazo kufanya utamani kuama hapo ulipo
 
Fursa za uwekezaji katika ardhi, wengi wanamiliki ardhi hivyo akiwa kwenye himaya yake anaweza kufanya shughuli nyingne za kiuchumi kupitia kipande cha ardhi alichonacho, ufugaji, kilimo, ujenzi, upandaji miti n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…