S Samvulachole JF-Expert Member Joined Oct 22, 2006 Posts 413 Reaction score 118 Jan 25, 2017 #1 Hivi mshawahi kujiuiza kwa nini sisi wadigo haturuhusiwi kuwa na chief wetu? Adam Mkwawa(13), Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa aliyefariki 14/02/15
Hivi mshawahi kujiuiza kwa nini sisi wadigo haturuhusiwi kuwa na chief wetu? Adam Mkwawa(13), Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa aliyefariki 14/02/15
loykeys JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 1,175 Reaction score 910 Jan 25, 2017 #2 Post yako na kichwa cha habari pamoja na picha hata haviendani, jipange upya ulete uzi unaoeleweka
MLAU JF-Expert Member Joined Aug 23, 2007 Posts 4,726 Reaction score 3,363 Jan 25, 2017 #3 Kabisa haviendani may be writing error
BRUCE LEE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 2,096 Reaction score 1,334 Jan 26, 2017 #4 january si mchezo wengi wamevurugwa
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,195 Jan 26, 2017 #5 Sasa kama hukusoma shule ya msingi mifumo ya uongozi wa jamii zetu zamani tukusaidie nini zaidi ya kukushauri kurudi MEMKWA?
Sasa kama hukusoma shule ya msingi mifumo ya uongozi wa jamii zetu zamani tukusaidie nini zaidi ya kukushauri kurudi MEMKWA?