Kwa nini wagonjwa wa kisukari wanazidi kuongezeka siku hizi?

Kwa nini wagonjwa wa kisukari wanazidi kuongezeka siku hizi?

Life style, watu wanaishi maisha ya kizungu bongo! Vyakula, hamna mazoezi, muda wote mko kwenye magari badala ya kutembea! unywaji wa soda na vileo.
 
Life style, watu wanaishi maisha ya kizungu bongo! Vyakula, hamna mazoezi, muda wote mko kwenye magari badala ya kutembea! unywaji wa soda na vileo.

Maisha kizungu ndio kula tu bila mazoezi? Huo sio uzungu, ni uvivu na starehe pamoja.
 
Kwa sababu siku hizi ni rahisi kugunduliwa na pia maisha yetu ya kisasa tumekuwa tukiwiga wazungu wa majuu. Hii ndiyo tunaona ni fakhari. Kumbe vyakula vyetu vya kijijni ni much heathier. Causes: Excessive drinking, Smoking, refined foods, too much oils in food, some medications can lead to type 2 diabete. Beware..... anza kuchagua vyakula kujikinga na fanya mazoezi.
 
Back
Top Bottom