Kuna Kitu wrong hapa .Obama ali cancel trip akaja Tanzania,Oprah Pia alibadilisha safari ya Kenya anaenda Tanzania ,Bill Clinton nae na Chelsea hawatoenda Kenya watakuwa Tanzania .Kwani wakenya wamefanya nini?au Nimepitwa na habari au ni huyu Rais mpya .Sidhani Kama Kenyans are high risk tourist Jamani