Kwa nini wakenya ni risk kutembelea UK wanatakiwa kulipa pound 3000 bond tourist visa

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Kuna Kitu wrong hapa .Obama ali cancel trip akaja Tanzania,Oprah Pia alibadilisha safari ya Kenya anaenda Tanzania ,Bill Clinton nae na Chelsea hawatoenda Kenya watakuwa Tanzania .Kwani wakenya wamefanya nini?au Nimepitwa na habari au ni huyu Rais mpya .Sidhani Kama Kenyans are high risk tourist Jamani
 

Kenya hakuna Natural Resources za kuvuna wataenda kufanya nini? Wanaona hizo trip zitawatia hasara.
 
Hapana, jibu kamili ni huyo rais wao wapendwi majuu. wambie wakenya ukweli choice has???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…