Kwa nini Wakikuyu na Wajaluo ndiyo hawaelewani?

Kwa nini Wakikuyu na Wajaluo ndiyo hawaelewani?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kuna mtu anaweza kunisaidia hapa, kwenye gomvi za makundi huko nchini Kenya, mara nyingi ni kati ya Wakikuyu na Wajaluo lkn sijawahi kusikia ugomvi kati ya Wakikuyu na Wakamba, au Wakikuyu na Mijikenda, n.k. sasa ni kwa nini?
 
Ngoja tumwita guru wa siasa za Kenya MK254 labda ataweza kutupatia mawili matatu juu ya ugomvi wa haya makabila mawili makubwa nchini Kenya.
 
Barbarosa si kweli kwamba Wakikuyu na Wajaluo tu hawaelewani! Kiukweli ni makabila yote 41 ya Kenya hayapendi Wakikuyu ila uwingi wao 31% na ung'ang'anizi wao wa madarakani, kunawafanya makabila mengine kukosa namna zaidi ya kuungana nao!

Wajaluo ndio kabila lililojitoa mhanga na kujiweka mstari wa mbele kuwakabili toka enzi ya Jomo Kenyatta pale alipoanza kujitwalia mashamba na kuwapa Wakikuyu wenzie!

Kudhibitisha ninachosema angalia jinsi Kalenjin/Nandis walivyotwanga mishale na kuchoma moto nyumba za Wakikuyu huko Nakuru katika machafuko ya 2007! baada ya uchaguzi!

Kumbuka vita kali haikuwa kati ya Mkikuyu na Mjaluo, bali Mkalenjin na Mkikuyu! Cha ajabu Mkikuyu na Mkalenjin ndo wanaongoza sasa!
 
Back
Top Bottom