BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Salaaaaam kwenu wote jukwaaani"
Ninapotafakari hili suala kwa kweli huwa nakosa majibu maridhawa Waarabu`wajerumani na waingereza hawa wote kwa nyakati tofauti walikuja kuchukua mali na kututawala"
Babu zetu walipofanya resistance kuna sehemu walifanikiwa na kwingine hawakufanikiwa" Pale ambapo walishindwa basi walikamatwa na kunyongwa hadi kufa"sasa najiuliza kosa la babu zetu lilikua nini hadi wakamatwe kwao na wakoloni na wanyongwe kwao huku baadhi ya hao babu zetu wakiwa wanawaunga mkono wakoloni"
Hivi kama babu zetu walinyongwa je sisi watatupenda" Kama kuna mtu anawapenda awapende tun"nawasilisha kwa wachangiaji zaidi