BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Salaaaaam kwenu wote jukwaaani
Ninapotafakari hili suala kwa kweli huwa nakosa majibu maridhawa Waarabu`wajerumani na waingereza hawa wote kwa nyakati tofauti walikuja kuchukua mali na kututawala
Babu zetu walipofanya resistance kuna sehemu walifanikiwa na kwingine hawakufanikiwa Pale ambapo walishindwa basi walikamatwa na kunyongwa hadi kufasasa najiuliza kosa la babu zetu lilikua nini hadi wakamatwe kwao na wakoloni na wanyongwe kwao huku baadhi ya hao babu zetu wakiwa wanawaunga mkono wakoloni
Hivi kama babu zetu walinyongwa je sisi watatupenda Kama kuna mtu anawapenda awapende tunnawasilisha kwa wachangiaji zaidi
Ili wasije kufanya tena resistanceSalaaaaam kwenu wote jukwaaani