Kwa nini wakwale wanakimbilia JF???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nimekuwa nikifuatilia thread za MMU nikakuta nyingi ni za wapya nimeshutuka!!Utakuta zakutaka wake za watu,kutaka mimama,Wanaume lakini waliooa,wanataka mwanamke mwenye uwezo sasa nashindwa kujua je hukukumeingiliwa na wakwale??Au hawa watu ni warika gani hawaogopi UKIMWI??:angry:
 

Never Be Afraid To Say what you feel, You can only Die once!!!
 
Hivi umejaribu kuzichunguza threads zako mwenyewe?
Nipe jibu kabla sijazibandika hapa moja baada ya nyingine!
 
Hivi umejaribu kuzichunguza threads zako mwenyewe?
Nipe jibu kabla sijazibandika hapa moja baada ya nyingine!
hahaha PJ bana...usifanye akaenda zidelete then akarudi hapa!:angry:
 
Kaka kiiza hivi lile jimama ulilokuwa unatafuta vipi ulifanikiwa
 
Si ndo zinashabikiwa?! angalia hata idadi za post ya jukwaa hili...!!
 
Moja hii hapa!
HUYU-DEMU.
Mkuu, siyo mambo ya UKWARE kama unavyoita...MAPENZI YANAIFANYA DUNIA HII IZUNGUKE SAWIA KWENYE MHIMILI WAKE..
 
Ndizo zinazopendwa...i guess zinachangamsha maana watu watachangia mpaka basi wee!Ukiweka kitu serious kidogo watu wanachungulia tu na kupita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…