babuwaloliondo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 378
- 174
Mama mia umemaliza kila kitu. Hakuna kibatani cha senks.
Ni swala la uelewa, kujitambua, na kuyakubali mabadiliko.
Nitafafanua kidogo: kijana kabla hajao mara nyingi anakuwa karibu na familia yake (baba, mama) hata kama amepanga haoni shida kutoa matumizi kwa familia yake (japo si wote) lakini anapooa automatically akili yake anailekeza kwa mamsapu wake coz atakuwa ametengeneza familia yake.
Hali kama hiyo inapotokea yale matumizi aliyokuwa anayapeleka nyumbani (kwa baba na mama) yanapungua au yasiwepo kabisa! Hapo mama mzazi anaona kama ametupwa, amedharaulika au kusahaulika na lawama zinaenda kwa mkwe kwamba ndiye anayebana matumizi; sasa katika hali ya ubinadamu mama mzazi naye anasahau hata wakati anaolewa yeye hayo yalitokea kwa namna moja ama nyingine, hivyo chuki inajengeka kwa yule mkwe (mke wa mtoto), kumbe ni swala la mabadiliko na mzunguko wa maisha. .....
Yatakiwa akili mukichwa kuyakabili haya mambo
:loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco:

@Komavu Yamekukutajeyamenikuta hata kabla sijaoa wana jf