kwa nini walimu Bongo tunadharauliwa sana?

kwa nini walimu Bongo tunadharauliwa sana?

Mwl Ngasa

Member
Joined
Aug 9, 2012
Posts
32
Reaction score
7
pamoja na kuwa walimu katika serikali iliyoko madarakani tumebezwa mpaka na viongozi wa ngazi ya juu kua wanajua kua "we are underpayed" na kama tunaona kazi hii ni ngumu tuache kazi, still hata jamii yote inayotuzunguka haithamini kabisa swala la mwalimu sijapata sababu hasa ni nini? the way u c people today is a result of teacher in one way or another hata wewe unaesoma hapa imetokea ktk maisha yako walau kwa miaka kadhaa ulikua na mwl darasani sasa why cant u respect teachers?
 
Tunawadharau kwa sababu ya mambo yenu ya kijinga mnayoyafanya.mfano kama hii thread uliyoileta hapa,ni ya kipuuzi.
 
wewe mwenyewe unajiona una akili kwa jinsi ulivyo respond hiyo thread?
 
Back
Top Bottom