Ukandamizaji kwa wanawake ulianza tangu enzi za zamani. Ila siku hizi no tunakwenda wote hospitali hakuna mchezo kabisa
Hivi wakati ukandamizaji ulipoanza wanawake walikuwa wapi mpaka wakaruhusu hii kitu?
hapo sasa!Mkuu hizo enzi za mwalimu zimepita siku hizi tuko ngangari mpaka clinic tunakwenda wote usifanye mchezo kabisa na gender balance ya siku hizi wamama zetu wazamani walikuwa waoga, wapole, wanyenyekebu nk lakini siku hizi umpate wapi.
Wote tunatoka asubuhi tena unaendesha gari namimi naendesha unapata mshahara na mimi napata utanibabisha na nini thubutu
Wapenzi wanaJF,
Kuna tabia imejengeka tangu enzi na enzi ya kuelekeza lawama kwa mwanamke pindi ndoa inapokosa mtoto. Mbaya zaidi, mwanamke ndiye anayesukumwa aende hospitali kupimwa. Halafu hata akipimwa na kuonekana hana matatizo mwanaume anakuwa mgumu kupimwa ana lawama zinaendelea kuelekezwa kwa mwanamke. Kwa maeneo mengine, mwanamke ndiye anayekuwa mhanga wa hilo tatizo hata kama wakati mwingine siyo yeye aliyesababisha. Hivi ni kwa nini tabia hii imeshamiri kiasi hicho? Kwa nini wanaume wengi hawapo tayari kupimwa, kama ilivyo kwa wanawake?
Mkuu hizo enzi za mwalimu zimepita siku hizi tuko ngangari mpaka clinic tunakwenda wote usifanye mchezo kabisa na gender balance ya siku hizi wamama zetu wazamani walikuwa waoga, wapole, wanyenyekebu nk lakini siku hizi umpate wapi.
Wote tunatoka asubuhi tena unaendesha gari namimi naendesha unapata mshahara na mimi napata utanibabisha na nini thubutu
we mwanamke we ni mmachami au mnyakyusa wa kyela?............ nyie mnaotaka usawa utawacost, hata maandiko yanasema mwanaume ni kichwa cha familia
Hivi wakati ukandamizaji ulipoanza wanawake walikuwa wapi mpaka wakaruhusu hii kitu?
NDOA ni batili kama hakuna mtoto - Usidanganyike!