jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,983
- 1,423
Jamani nauliza kwa nini wanawake huwa wanakata tamaa mapema pale anapoona umri wake wa kuolewa unazidi kwenda kama miaka 30 na kuendelea kuliko mwanaume kukata tamaa ya kuoa pale ambopo umri wake naye huwa mkubwa lakini bado huwa ni mvumilivu hata kama anapata madongo mwengi kutoka kwa washikaji na ndugu zake..bado huwa ana moyo wa kuvumilia kuliko mwanamke??