they afraid god much than men,,,,,,,,,, imean they affraid (kuzini)thats all,,,
Japo sijakuelewa, lakini nadhani ni kwamba kwanza jinsi wanavyoendelea na umri hata ile critical beauty inapotea nahivyo wakumapproach kutongoza wanapungua, likely asiolewe tena na ndipo matusi yantokea kila upande
sasa hujanielewa na mi pia sjakuelewa matusi yajaje sasa???????
Matusi yanatoka kwa akina dada/mama na hawa ndo waharibifu wakubwa maana wana maneno ya kumfrastrate mwenzao kwa kutumia mifano halisi
Nahapo ndipo mtu ambaye haoni mwelekeo wa kuoolewa anakata tamaa, na hapa ndo hatari maana akitoke mdanganyifu mmoja anamharibia binti huyo.
Lakini wadada wana maneno ya kimatusi sana na wanazungumza waziwazi kuwashawishi wenzao kutafuta wanaume- ndo matusi yeneyewe
are you sure for what you are talking???????????
Simple, kwa mwanamke menopause inakaribia, atazaa kwa kisu, vijana wa kuoa beyond 30 wanapungua, pressure inaongezeka toka kwa nduguze, anajihisi ana mkosi au siyo mzuri.
kwa mwanaume, hakuna menopause, huwa habebi mimba, mbegu zake zipo tu hadi miaka 80, anaweza kuoa mtoto wa miaka 20 wakati yeye ana 50, huwa hawajali sana pressure ya ndugu. Pia hawapendi sana kuwahi kufuga kuku wakati wanaweza kupata mayai kiurahi.
Nitarejea baadaye ngoja nimalizie kavaleur kangu.
Wanakuwa wametumika sana na hali ya kuzaa inafifia na kuogopa matatizo ya uzazi :A S-alert1:
Hii ni suure kwa asilimia 200
angaliamfano mzuri hata mashuleni wadada ndo wanshauriana kwa mambo haya, rerely kwa wavulana na pengine wavulana hawajadili kabisa kuhusu masuala haya. Sikiliza huo upade. Ndo mafrastrater wakubwa kwa wenzao
Hii ni suure kwa asilimia 200
angaliamfano mzuri hata mashuleni wadada ndo wanshauriana kwa mambo haya, rerely kwa wavulana na pengine wavulana hawajadili kabisa kuhusu masuala haya. Sikiliza huo upade. Ndo mafrastrater wakubwa kwa wenzao
Jamani nauliza kwa nini wanawake huwa wanakata tamaa mapema pale anapoona umri wake wa kuolewa unazidi kwenda kama miaka 30 na kuendelea kuliko mwanaume kukata tamaa ya kuoa pale ambopo umri wake naye huwa mkubwa lakini bado huwa ni mvumilivu hata kama anapata madongo mwengi kutoka kwa washikaji na ndugu zake..bado huwa ana moyo wa kuvumilia kuliko mwanamke??