Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
No, mwanaume kamili lazima uwe tayari kum-face mwanamke live na kumweleza kilichomo moyoni. Mambo ya kuzungukazunguka yanaumiza moyo bila sababu ya msingi. Wanaoona aibu wanakuwa bado hawajakamilika. Sifa mojawapo ya kiume ni guts, courage, n.k. Kama huna hizo basi kuna jambo siyo la kawaida.
Si unajua mambo ya makuzi tena mkuu
wanaume wengi wanaogopa sana kibuti kutoka kwa wanawake wengi inawanyima confo, unakuta mtu anajiuliza hivi huyu amenionaje hadi amenikataa, kwa hiyo wanatumia msg kuangalia upepo unaendaje !
kweli kabisaaaaaaInferiority complex
Wengine mpaka wastue kidogo na ze kili ndo wanapata ujasiri wa kuzoza live.
lazima kumtazama machoni kuona kama unadanganya.
tatizo la wakaka macho yenu mnakodolea kifuani tu!
Girlie unacho kifua?:wink2:
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
Unapenda kutamkiwa live? Vizuri sana. Ila inaonyesha huwa unamuangalia sana machoni wakati mnaongea
Tena cha haja!