Kwa nini wanasiasa wengi warefu

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
64
Nimefuatilia kwa kipindi kirefu na uchunguzi wangu wa kina ukagundua wanasiasa wengi ni warefu sijajua biologically related to political issue kwa nini wanasiasa wengi ni warefu.
Na mbaya au nzuri zaidi wakipata madaraka kwa muda mfupi tu huwa nywele zao huwa zinabadilika na kuanza mvi kwa haraka, sijui kwa nini .
WATAALAMU NISAIDIENI JE HATA MIMI NINA UREFU WA 150cm 25yrs NITAKUWA MREFU NIKIINGIA KWENYE SIASA?
 
Mkapa-is he tall?umefanyia wapi huo utafiti?
 
Je umewahi kumsikia Hitler, Chiluba wa Zambia, Mkapa wa Bongo? Je hao unaosema ni warefu wana urefu gani? At 25 years may be hujapata exposure sana. Tafiti vizuri ili ujue mtu mrefu ni yupi.
 
Ukishafika hiyo miaka yako 25 yrs hukui tena. Pengine urefu unaoelezea ni upeo wa kufikiri na sio urefu wa kimo.
 
Mzee Kawawa je alikuwa mrefu?, Mzee Mwinyi je alikuwa mrefu?, Mzee Mkapa je alikuwa mrefu?,
njoo na hoja nyingine baba,
na wewe huwezi kuwa mwanasiasa kwanza unaingia kwa tamaa ya kuwa fisadi. Au?
 
Je umewahi kumsikia Hitler, Chiluba wa Zambia, Mkapa wa Bongo? Je hao unaosema ni warefu wana urefu gani? At 25 years may be hujapata exposure sana. Tafiti vizuri ili ujue mtu mrefu ni yupi.

tatizo la watu wafupi ni kutokujiamini kwa kuona kuwa wanadharaulika kutokana na maumbo yao,hiyo inawafanya kuwa wakali kwenye maamuzi yao,mfano mzuri ni kwa hao wanasiasa uliowaorodhesha hapo,inawezekana kutokana maumbo yao ndio yaliyowasukuma kufanya madudu(kujilimbikizia mali na ufisadi,ukatili)kipindi walipokuwa madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…