Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Umm thanks but NO THANKS!
Asante sana Keren!Ngoja nibadili kuendana na mazingira maana mara ya tatu hii mtu anashangaa!BayGal, nafikiri umesahau kuvaa nguo.....mhhhhh!!!!karibu sana JF!
BayGal, nafikiri umesahau kuvaa nguo.....mhhhhh!!!!
karibu sana JF!
Jamani mna madongo humu!Haya nimerekebisha kidogo natmaini haiwatatizi tena!wewe mwambie nguo yako imekupendeza japokuwa hajavaa nguo
Jamani mna madongo humu!Haya nimerekebisha kidogo natmaini haiwatatizi tena!
Haya nashukuru mama!Hakuna madongo ni namna yakukusifia kama wale wa mawigi
That's cool ..Umm thanks but NO THANKS!
Teh teh teh teh No further comment....nakubaliana na wewe! kuna vitu vitatutu migodini, kazi, pesa na ngono.we pendeza hata ungekua ka malaika hutomzingua mtu, sanasabna ka ni dem utakua unawaalika majamaa kwako.
Keren..Msamehe mgeni embu njoo huku..Kuna kazi ya ku organize wedding lolzBayGal, nafikiri umesahau kuvaa nguo.....mhhhhh!!!!karibu sana JF!
Nisamehewe kwa lipi?!Nimevunja sheria?!Keren..Msamehe mgeni embu njoo huku..Kuna kazi ya ku organize wedding lolz
NiPM na sisi 2juane.Kumbe mnajuana humu!!!
Wengine hadi wanatia huruma, ungekuwa kwenye ofisi za serikali (SU)ungekuwa unacheka sana, kuna mama zetu wa midle school wana vaa magauni ya crazy colour yanafagia barabara wakiwa wanatembea basi wanasifiana like 30 minutes ......Haaaaaaaahaaaaaaaaaaaanilifikiri ni mimi tu ndie naonaga hawapendezi lol