Nimeishia kucheka hadi machozi yanatoka,kwani nimerecall ambayo huwa nayaona huko mjini na mitaani.Ila na wadada wengine waache kusifia wenzao uongo,halafu nao wasifiwaji wakisifiwa wanaitika kwa madoido huku wanazungusha macho juu na kopoz kama wanaweka hilo "tenga" vizuri.Wanapoondoka unaona waliomsifia wanafinyana na kucheka!Mwambie mtu ukweli ajirekebishe jamani.