Kwa nini wanawake mkijifungua mnafanya hivi?

Siku hizi hata mahospital wanadiscourage sana kukandana ni utamaduni na mila tu, kwamba through kukandwa unasafishika.
 
ila mazee tuwaheshimu akina mama...ujauzito na malezi in general sio kama nahii....kila mtu anao...ile hali ni kitu kingine jamani....i love u all akina mama.
 
KakaKiiza:

Una haraka gani bwana mdogo? Kua, Oa, pata mtoto, nenda bafuni na mkeo akijifungua msaidie kumkanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…