Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Mwaa mwaa mwaa mwaa hahahaha,.....duh hili jukwaa noma kweli
siyo kwamba nahisi, nimeshuhudia mwenyewe baada ya kubahatisha marembo wawili wa kimasai. Mmoja nilimuuliza kwa nini ametulia wakati mwenzie napanda mlima aliniambia eti hajazoea. Mwingine nilipomuuliza alinieleza ukweli kwamba ndivyo walivyofundwa na wakubwa wao. Eti mwanamke wa kimasai hatakiwi kumkatia mauno mumewe. Akifanya hivyo mume anaweza akapeleka mashtaka hata kwa mshenga. Eti ni uhuni. Jamani, hii ina ukweli wowote?
Siyo kwamba nahisi, nimeshuhudia mwenyewe baada ya kubahatisha marembo wawili wa kimasai. Mmoja nilimuuliza kwa nini ametulia wakati mwenzie napanda mlima aliniambia eti hajazoea. Mwingine nilipomuuliza alinieleza ukweli kwamba ndivyo walivyofundwa na wakubwa wao. Eti mwanamke wa kimasai hatakiwi kumkatia mauno mumewe. Akifanya hivyo mume anaweza akapeleka mashtaka hata kwa mshenga. Eti ni uhuni. Jamani, hii ina ukweli wowote?
Wewe umeshaprakitisi na umeona na umeambiwa unataka nini tena?? Wewe umetoa ushuhuda mzuri tu huna swali hapa lakuuliza zaidi tukuulize wewe ulijisikiaje baada ya kutokatiwa mauno
wao huwa wanataka tu ile kitu namesa mesake....................
Ilitokea kesi moja hospitali sitasahau. Mama alikuja na mme wake baada ya ultrasound wakapewa majibu kuwa mimba iko nje ya kizazi. Mume alikuja juu vibaya sana nilishangaa kampa bibie kibao whaaa mimi kwisa ambia wewe mama yoyoo tulia,we hapana tulia sasa ona nasababisha mimba nakaa inje! Jamaa akatoka!
Mkuu.Ilitokea kesi moja hospitali sitasahau. Mama alikuja na mme wake baada ya ultrasound wakapewa majibu kuwa mimba iko nje ya kizazi. Mume alikuja juu vibaya sana nilishangaa kampa bibie kibao whaaa mimi kwisa ambia wewe mama yoyoo tulia,we hapana tulia sasa ona nasababisha mimba nakaa inje! Jamaa akatoka!