Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

Sikubaliani na wewe wazungu hao hao walifanya research ya miandiko katika kutofautisha zaidi ya 65% watu walikuwa accurately kukisia either writer male or female.
Wewe ume experience hivyo wapi?in real life not movies.

Sio movies, mkuu! Ninaishi nao na kufanya nao kazi! Labda kama tusiokuwa wazungu hatuwezi kutambua miandiko ya wazungu wa kike na wa kiume. Huo mfano wa pili ni mwandiko ambao wapo wengi wa kike na wa kiume walio nao!
 
Sio movies, mkuu! Ninaishi nao na kufanya nao kazi! Labda kama tusiokuwa wazungu hatuwezi kutambua miandiko ya wazungu wa kike na wa kiume. Huo mfano wa pili ni mwandiko ambao wapo wengi wa kike na wa kiume walio nao!
Siwezi kubishia but jaribu ku Google utafahamu nachomaanisha.
 
Siwezi kubishia but jaribu ku Google utafahamu nachomaanisha.

65% accuracy haitoshi! Kumbuka kila unapobuni kuna 50% probability ya kubuni correctly, kwa sababu kuna possibilities mbili tu; ama KE au ME, assuming umepewa set yenye miandiko ya kiume na ya kike kwa idadi sawa. Ili tuweze kuamini kwamba miandiko ya wazungu sio gender-neutral, matokeo ya guessing lazima yawe na accuracy kubwa sana (say 80%+). Na hii kwa wanawake wetu unaipata bila shida!
 
Mchcha Nmekujb Vzr Namna Wanawake Wanavyokama Pen, Ss Km Unataka Porojo Kwenye Science, Basi Subiri Jibu.
 
Mi najua sababu wao ni wanawake wanabeba mimba kihalali mimba inapoingilia ndipo inapptokea tabia zao moja mama yao mmoja na ndio maana mwandiko wao mmoja maana mwalimu wao kipofu na mwanamke ndo kiumbe pekee chenye maajabu 7 duniani kama umewahi ishi na wanyama kama mbuzi nyau na simba wale wa kike lakini ukijua mawasiano yao mwandiko wao ni mmoja Lumumba lukumba tofauti na wa kiume mwandiko wao makinikia kinikia hata katika wanafunzi 12 wa bwana yesu wanawake hawakuwepo kwa sababu ya lukumba lukumba yao na pia ndio kiumbe pekee dunian kinachoweza kubeba mimba ya fulan kikaenda kumpa mwingine na kumwaminisha ni yake ktk maajabu yake 7 mwanamke ndo kiumbe tabia zake nyingi anafanana na mbuzi wa kike mwandiko wake kama wa mbuzi jike wengi hapa hawatanielewa hawajui mbuzi anaandikaje ni somo pana kukojoa kwa mbuzi jike anachuchumaa kama mwanamke nina mengi sana ila sitaeleweka ngoja nikaongeze bia kwa mangi nitarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hiyo takwimu ulijifunza shule gani?even 51%inatosha kutoa majibu sasa wewe hiyo 80% sijui imetoka wapi sijawahi ona statistics ya aina hiyo.

Haya sasa nenda kabishane https://www.quora.com/Why-does-girl...even-a-sexual-gender-character-to-handwriting

Kasome hapo quora hao ni wazungu wabishie.
 


Shule nilikosoma statistics ni irrelevant kwenye hoja hii. In fact, mimi sio msomi.

Sijaona jinsi hawa Quora wanavyothibitisha unachoamini. Wanazungumzia zaidi personality rather than gender. Personality ni multidimensional phenomenon.

As a matter of fact, Statistics is an art that is susceptible to data mining phenomenon and a researcher's biases. Kwa taarifa yako, katika Statistics kuna kitu kinaitwa spurious relationships (correlations ya vitu ambavyo havina logical relationship yoyote).
 
Kujua statistics haimaanishi wewe ni msomi au la au sijakuuliza kama wewe ni msomi,nilikuuliza hiyo aina ya statistic uliitolea wapi.
Gender imezungumziwa hapo sema unataka kuonekana upo right basi umeshinda mkuu mimi sina la ziada ya hapo.Jioni njema.
 
Miandiko ya watu wa mataifa ya magharibi ni gender-neutral. Pia sijawahi kuona mwandiko wa mwanamke mzungu unaofanana na miandiko iliyo mingi ya wanawake waswahili.

Huo mfano wa pili, kwa mfano, unaweza kuwa mwandiko wa mzungu wa kike au wa kiume.
 
 
 
wanawake tunaandika kivivu sana ndio maana.
na uwekaji wa kichwa ,unapoelemezea kichwa ndipo herufi zinakolalia....
mimi binafsi enzi za shule nilikua na miandiko zaidi ya mi5 ,sina mwandiko maalumu.
nikiona mwandiko wa mtu mzuri nauchukua naandika kwangu[emoji23][emoji23]

kuna kipindi shule ya msingi waliitwa watu wa miandiko sawa wajaze form akakosekana mmoja nikaenda mimi nikaiga nwandiko wao tukaenda sawa[emoji23][emoji23]....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kushangaza zaidi miandiko ya wanawake hubadilika as they grow up..mwandiko wa mwanamke akiwa sekondari ni tofauti na ule wa chuo na hali kadhalika wa Kazini. Sasa sijui ni kukomaa kwa misuli ya mkono au ubongo. Hii kitu ipo mpaka kwa Wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…