Kwa nini wanawake wanashiriki kuwanyanyasa wenzao mtandaoni?

Kwa nini wanawake wanashiriki kuwanyanyasa wenzao mtandaoni?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wakuu,

Huu msemo wa adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunaushuhudia sana mtandaoni

Yaani Mdada akipost kavaa kakimini kake sjui, mwenzie ndo atakuja kumwambia "Unavaa hivyo na vimiguu kama unacheza Judo"🤣🤣🤣🤣

Hawana huruma hata kidogo. Jamani huu ni unyanyasaji, unaitwa Body Shaming

Lakini wengine wanasemaga wao wanasema ukweli na hawajui kama ni Unyanyasaji

Wanawake acheni kuwabody shame wenzenu please

Mnalalamika Wanaume ni wanyanyasaji kumbe na nyie mnashiriki kuwaumiza wengine kwa kujua au kutokujua

Kama usingependa kufanyiwa jambo usimfanyie mwingine, iwe mtandaoni au mtaani

Usiku Mwema
 
hahaha
Screenshot_20240616-114906~2.jpg
 
Na ile unapiga picha umegeukia nyuma kwani ukigeukia mbele unapungukiwa nini? Au hatutaona unachotaka tuone? Na unataka tuone ili tuchukue maamuzi gani kwako?
 
Back
Top Bottom