Samahani wanaJF,
Nimekuwa nikijiuliza sana suala hili baada ya kutembea nje ya nchi na kuona maumbo ya wanawake kwenye mabara mengine. Kwa ujumla, dada zetu wa kiafrika wana makalio makubwa ukilinganisha na mabara mengine. Tofauti hii ina tafsiri yoyote kimazingira?
genes: Ingawa twafanana kwa maana binadam wote spicies mmoja (sapiens) ILA genes are prone to different stimili relative to others, MFANO MZURI NI KWAMBA IT HAS BEEN ESTABLISHED THAT INDIAN genes are prone to kisukari than others.
:first: ,kama hujui kombe tunalo,kuhusu swala hilo,ila kwa wale ambao hawajajaliwa mambo fulani<wanatumia mchina,
sio fresh,ila ni kitu kinacho nishangaza sana kuona,wanawake hawajipendi wajionapo hawana makalio!
:clap2:Wanamakalio makubwa kwa vile wanaume wa kiafrika wanapenda wanawake wenye makalio makubwa teh teh teh teh teh .................Si unaona wapo tayari hata kununua dawa za kichina ili kuongeza makalio yao? Wamegundu kuwa ugonjwa wa wanaume wa kiafrika ni makalio makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:😛opcorn: