Kwa nini wasichana wa siku hizi hupenda zaidi wanaume walio oa


Poleni sana mn aopenda mabinti wa nje kumbe ndo matatizo mnayokumbana nayo, hapo bado watoto wanahitaji ada sasa hizo pesa ungetulia na wife wako si mngefanya mambo mya maana, hapo hapo bado unajichumia dhambi tu!
 
Mazoea hujenga tabia,hujawai ona mdada mzuri na ndoa juu lakini bado kuchuna wanaume haachi including na mume aliyemuoa anampiga mizinga.

Sijui wanapata wapi guts za kuwa ombaomba hivyo ingawa wengine wana kazi nzuri tu na mshahara mzuri!
 
Juzi kati binti wa form three katoka na mkaka aliyeoa 2008 ushenzi mtupu
 

Tungekuwa tunafuata maadili ya Mungu kuhusu ndoa kiukweli wangempata nani? Sisi wanaume hasa wale mliooa ndio wa kulaumiwa
 
Hivi we' Kaunga ..................................!!!!!!!!!!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…