Source: Michuzi Blog
Mkazi wa Matombo, Morogoro vijijnini Mashariki, akiinadi CCM
My take:
CCM ni Chama ambacho kila wanachama wa kada mbalimbali bila kujali dini, kabila, rangi wala jinsia.
Je, umewahi kujiuliza ni kwa nini kada ya wenzetu Wasio Weusi hawapo upande wa Upinzani?
Tujadili bila hoja za kibaguzi.
wasio weusi wanapenda siasa zenye maslahi kwao/maslahi binafsi, na hasa ya kiuchumi. Na haya yanapatikana kwa kujiunga na ccm tu; kwani kwenye vyama vya upinzani mwanya huo ni mdogo sana.
Ina maana wote walio wasio weusi wana maslahi CCM?
Swali zuri sana. Moja asilimia kubwa yao ni wafanya biashara wanaotafuta unafuu katika biashara zao wapi watakapopata mwanya wa kuziendesha biashara kisanii kwa kutolipa kodi halali, biashara haramu katika upinzani hasa chadema huo mwanya mchafu haupo. Nafasi kama hiyo ipo CCM TU. Ndo mana wana wamelundikana humo ushahidi ni Rostam, Jeetu patel, Manji na wengine wengi nitajie japo mmoja asiye mweusi aliyepo CCM na sio mfanya biashara ukichunguza ina ufisadi ndani yake na ufisadi wowote ukitaka kuufanikisha jiunge na CCM cheki jimbo la arusha mjini wafanyabiashara walivyojitolea kumpigia debe batilda ili tu wafanikishe mambo yao ya kifisadi walala hoi wote wanampigia debe Lema na Dr.Slaa na tutashinda one day yes.
Na je, ina maana hakuna hata wachache wanaoona chama tawala kinafanya makosa au kuna sera mbadala zilizo nzuri?
Source: Michuzi Blog
Mkazi wa Matombo, Morogoro vijijnini Mashariki, akiinadi CCM
My take:
CCM ni Chama ambacho kila wanachama wa kada mbalimbali bila kujali dini, kabila, rangi wala jinsia.
Je, umewahi kujiuliza ni kwa nini kada ya wenzetu Wasio Weusi hawapo upande wa Upinzani?
Tujadili bila hoja za kibaguzi.
Vipi huyu kijana aliyeshika bango ambaye habari inasema yuko Matombo vijijini, ana biashara gani huko?
Matombo kuna gemstones mkuu wangu na hao watu wamejikita huko. Unadhani ni kwanini wachimbaji wadogo wadogo huwa wanafukuzwa? Kisa ni kwamba wanapokuja hao wachimbaji wa kati na wakubwa huenda kuomba leseni kwa kuwa wana mitaji. Unadhani watapata leseni na ruhusa ya kufukuza wachimbaji wadogo bila kui-support serikali iliyo madarakani. I swear, siku ukiona upinzani umeingia madarakani hao wenye ngozi nyeupe utaona wanavyo switch sides ili kuendelea kulinda maslahi yao.
Sasa hivi katika vyama vya upinzani, hakuna mwanachama yeyote aliye mweusi?
Superman...JF hatuongei kwa Uhuru ila tunaandika kwa uhuru....Inshort hapa JF kuna keyboard Heroes wengi sana.....
Kwa ukweli hawa wenzetu weupe huwa ni watu wanopenda +ve slope....ni wako tayari kutumia nguvu yao yote kulainisha palipo pagumu, ni niwatu wa kuinuana sana, so wanajua wapi kuna weakness kwa manufaa yao binafsi. hawana mapenzi ya dhati na nchi hii. Iddi Amini alilijua hili ndo maana aliwapa 24 hrs wawe nje ya UG. Sasa hapa kwetu wanajua CCM ndo imeshika mpini kwenye kila sekta. Thus why wengi/Wote wapo huko.
Hata Chadema Ikitokea wakachukua nchi. Trust me tutawaona koz watajua CCM haina faida tena kwao. so watatafuta mbinu ya kuingia Chadema. (SOMAIA kawapa CHADEMA Mil.100) huwa hawaingii miguu miwili hawa, huanza tartiiiiiiiiibu then huingia full na kukamata watu muhimu na nyeti na huwa hawataki vyeo hawa jamaa. wao ni kuwapa mwanya wa kukwepa kodi na kuwin tenda zote kubwa. Vyeo ni vyetu sisi ngozi nyeusi.......
Mungu Ibariki Tanzania