Baada ya kuelewa mawazo ya waliochangia thread hii naona kama vile hawa watu hawaeleweki lakini ukweli mi ninaoujua ni kama ufuatavyo.
1.si kweli kwamba hakuna ambao wapo vyama vya upinzani nani aja kuangalia kura.?
2.ni kweli walio wengi wapo na ccm na kuna waliom saidia mwl kupata independence .
3.Nimeona na macho yangu hawa watu wanasaidia wenzetu kuliko sie nimeona wazee wodi za watoto not that hata kuna watoto wanalipiwa shule.nina cho andika i have witness it .ni kweli hawatimizi wajibu wao kwa kujiunga polisi au jeshi lakini wanatimiza wajibu wao kwa njia hii.
4.Ukiangalia wengi wao wanaogopa kujionyesha kwamba wapo na upinzani ili wasiletewe TRA ambao kazi yao ni kuonea wakati mwingi.
Tunawachukia bure sababu ya fitina na propaganda lakini sivyo walivyo wote ni kama tumeona mawaziri mafisadi na wafanya biashara je walikuwa sio weusi hii ni human nature kila jamii utakuta kuna dosari kwa watu wake.ndio msemo huu unakuja kuanguka samaki mmoja akioza wote .....................Thats the problem.:glasses-nerdy: