Kwa nini watu huwa hawaitwi hili jina?

Kwa nini watu huwa hawaitwi hili jina?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Toka nizaliwe sijawahi sikia mtu akiitwa Delila.

Kwenye delta ya mapenzi anaweza kuwa hatari sana au inakuaje wakuu?
 
Nani ako na ham ya kumwita mwanaye jina lililolaaniwa?
 
Nalipenda jina la lucifer kumpa mmoja wa watoto wanfu wajao coz limebeba maana nzuri sana. "M'beba mwanga". Lakini nahofia mtoto ataishi maisha ya kunyanyasika sana
 
Toka nizaliwe sijawahi sikia mtu akiitwa Delila.

Kwenye delta ya mapenzi anaweza kuwa hatari sana au inakuaje wakuu?
Woga wa wanawake mbona wanaume wanajiita Yuda,
 
Back
Top Bottom