Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Aug 10, 2025 #1 Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao wamejifunika siku nzima? Attachments Screenshot_20250810-180046.png 572.5 KB · Views: 39
Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao wamejifunika siku nzima?
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,690 Reaction score 6,380 Aug 10, 2025 #2 Wasiwasi Wako Tu....Wewe Ulihitaji Wakamatwe Watu Kutoka Wapi...???Embu Tueleze Vizuri..Una Kitu Nadhani Utafika Mbali...
Wasiwasi Wako Tu....Wewe Ulihitaji Wakamatwe Watu Kutoka Wapi...???Embu Tueleze Vizuri..Una Kitu Nadhani Utafika Mbali...
I imam_ali Member Joined Feb 21, 2025 Posts 64 Reaction score 113 Aug 10, 2025 #3 Pakistan nao ni waarabu?πππ Bongo Nyoso. By the way ni vile taarifa zinatolewa kwene mitandao sio ajabu Mtaani kwenu mnaongoza kiwilaya
Pakistan nao ni waarabu?πππ Bongo Nyoso. By the way ni vile taarifa zinatolewa kwene mitandao sio ajabu Mtaani kwenu mnaongoza kiwilaya