Kwa nini watumiaji wengi wa Tecno na Infinix wanapenda kujaza screen protectors kwenye simu zao?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa.

Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha.

Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si utaweka kapeti kabisa?
 
Sijaelewa point yako..
Wanaweka protector na cover zaidi zaidi ya moja? (kitu ambacho sijaona) au
Ndio hawapaswi kuweka kabisa kwa mtazamo wako?

Nahisi labda ungezungumzia aina ya Cover. Ni wachache sana wanatumia simu bila protector. Bila cover inawezekana hasa kutokana na brand ambayo bila cover ndio inaleta muonekano mzuri.

Lakini yote ni maamuzi ya Mmiliki,
Simu ni yake, utunzaji ni juu yake, na ikimharibikia ni juu yake pia, kwaio yote juu ya simu yake ni kheri.
 
Sijapata swali lako vizuri. Unamaanisha wanaweka protector nyingi sana na maCover mengi? Au wanaweka kama wengine wa samsung, nokia wanavyoweka ? Au wanaweka mara kwa mara?

Mimi nimeona simu kubwa tu za flagship zinawekwa protector na cover, na hata ukiingia madukani almost cover na protectors za simu zote zinauzwa that means zinanunulika
 
Point ya mleta mada ni kwamba; Kwanini wamiliki wa Tecno na Infinix wanaweka simu Protector na cover wakati simu zao ni za bei che, hata zikiharibika wanaweza kununua nyingine. Kwa maoni yake protector na cover zinafaa simu ghali Kama Samsung na iPhone 11 pro [emoji16][emoji16][emoji16]



Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
[emoji1787][emoji1787]umenifurahisha aisee. Yaani ajue tu kwamba anayenunua simu ya tecno ya 150,000/ ni amejitutumua karibu mwaka mzima na hiyo ndio simu ya gharama kwake kama vile tajiri anavyonunua Galaxy S20 leo [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeshiba hamtambui mwenye njaa

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Protecgor lazima ziwekwe kwani zinalinda vioo na vitu vingine hivyo jitahidi kutokufatilia ya watu please
 
Binafsi naamini mwanamke anapenda kuweka screen protector na cover kuliko mwanaume.
Nikikuta simu ina cover na protector subconsciously naassume hiyo simu ni ya mwanamke.
Acha kujinyanyua ndugu Kwa madharau,jamaa zako wanaokuzunguka wana kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini hakumaanisha hivyo ila kama alimaanisha hivyo basi kabla ya kuwaza na kuandika hili alikuwa keshapigwa kimoja yuko mapumziko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh..... Ni sawa na kuuliza kwa nini uvae ndom kwenye uzinzi..... Au utumie chandarua eneo lenye m'mbu. Usipothamini kidogo ulicho nacho, huwezi kuthamini kikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…