Mh sa mi kosa langu hapo lipo wapi? Ailinde mi sina shida naye ila nikiikuta hiyo simu sehemu, labda mezani na yeye hayupo, wazo langu la kwanza ni kwamba hii simu ni ya mwanamke.Unasemaje ukiona tu Simu ina body cover na screen protection unajua hiyo Simu ni ya mwanamke!!? Kwa mtazamo wako mwanaume hapaswi kuilinda Simu yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukimuona mwanaume kashika Simu yenye body cover na screen protector unamchukuliaje!?Mh sa mi kosa langu hapo lipo wapi? Ailinde mi sina shida naye ila nikiikuta hiyo simu sehemu, labda mezani na yeye hayupo, wazo langu la kwanza ni kwamba hii simu ni ya mwanamke.
Namchukulia anahofia simu kuharibika.Na ukimuona mwanaume kashika Simu yenye body cover na screen protector unamchukuliaje!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ndio anayehofia zaidi Simu kuharibika kuliko mwanaume!?Namchukulia anahofia simu kuharibika.
kundu hulia mbwata. Muanzisha mada linalia mbwata mbwata sasa hivi baada ya kupata kisamsung cha A10.Maskini akipata .......
Ndiyo.
Ni utunzaji tu,,,na usipoweza kutunza hicho kidogo kikubwa utaanzia wapi...na waweza pata soko ukaiuza na kuchukua nyingine chap!!Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa.
Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha.
Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si utaweka kapeti kabisa?
Alichosahau mtoa uzi Ni kwamba hata hiyo Samsung s 20 ultra kwa baadhi ya watu Ni takataka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Black diamond iPhone 5Sasa hao wanamiliki nn mkuu??kama s 20 ultra bado ni taka taka kwao?