Kwa nini watumiaji wengi wa Tecno na Infinix wanapenda kujaza screen protectors kwenye simu zao?


Jana tu nimetoka kuulizia kioo cha Samsung S20 Ultra, aisee ni USD 280
 
Kwani huyo jamaa nikimwambia Ku.... la mamayke nitakuwa nmekosea maana naona ana itikadi za kike
 
Kuna watu wana laana humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Hongera kwa kutumia IPHONE
 
Watumiaji wa izo simu wengi wao ni wafanyaji kazi ngumu
Mfano kama mimi ni fundi welding mda mwingi nashinda na vyuma vyuma.
Ko Bila protector mkuu lazma uandae 60000 ya kubadilisha kiooo
 

kwa kujazia nyama nyama ili uelewe zaidi kwanini hao wamiliki wanazifanyia hivyo simu zao.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…