ni wahuni sana na wengi wanakwepa kutoa EFD receipt kukwepa kodi na pia uuza simu fake na uikosesha serikali mapato na hawajui au wanajua nini utokea wasipotoa EFD receipt ila wanajitoa akili hao na inachangiwa pia na watu kutodai izo risiti na wananchi elimu ya kodi wengi ni hawana hawajui asiyetoa na asiyedai wote wanamakosa.Nimefatilia kwa mda mrefu hawa watu hawatoi risiti kabisa. Sasa sijajua labda ni sheria iko hivyo lakini ukiangalia mauzo yao wanauza simu moja tu milioni 3 mpaka 5 lakini hawakupi risitim na hata ukiomba wanakuandikia ya mkono hawana EFD kabisa.
Sasa TRA si walisema kama una mauzo ya 35000 kwa siku unafaa kuwa na EFD. kuhusu hawa vipi au wao wanalupaje kodi zao.