Nimejifunza kuwa umoja ni Nguvu na utengano ni udhaifu.
Pili nikashangaa kuwa yote ya muungano wazanzibar wanataka yasiwe ya muungano nikashangaa
sasa najiuliza watu hawa mbona hawataki hii zawadi nono ya muungano?
Pili nikashangaa kuwa yote ya muungano wazanzibar wanataka yasiwe ya muungano nikashangaa
- hawataki ulinzi na usalama iwe ya muungano wanataka kujilinda wenyewe
- hawataki fedha na uchumi wanataka kucontrol uchumi wao
- hawataki uraia na uhamiaji iwe ya muungano wanataka wawe na passport zao na wamkaribishe wamtakaye
- hawataki mambo ya nje iwe ya muungano wachague upande wa kufunga mana nao
sasa najiuliza watu hawa mbona hawataki hii zawadi nono ya muungano?